• HABARI MPYA

    Wednesday, November 06, 2013

    MWAIKIMBA MKALI ASIYE NA UHUHIMU AZAM FC, AKIPEWA NAFASI ANAFUNGA, LAKINI...

    Gaudence Mwaikimba ni mshambuliaji ambaye kila akipangwa huwa anafunga mabao Azam FC, lakini bado umuhimu wake umekuwa hauonekani mbele ya kocha Stewart John Hall na amekuwa akimtupa benchi kwa muda mrefu. Mwanzoni mwa msimu wakati timu hiyo inakabiliwa na majeruhi wengi, Mwaikimba alikuwa anapangwa na kufungwa, ila tangu wachezaji karibu wote chaguo la kwanza wapone, Gau tena hasomeki, hata kupewa dakika tano za mwisho hapati bahati hiyo.

    • Blogger Comments
    • Facebook Comments

    0 comments:

    Item Reviewed: MWAIKIMBA MKALI ASIYE NA UHUHIMU AZAM FC, AKIPEWA NAFASI ANAFUNGA, LAKINI... Rating: 5 Reviewed By: Mahmoud Bin Zubeiry
    Scroll to Top