Son Heung-min akifurahia baada ya kuifungia Tottenham Hotspur mabao mawili dakika za 16 na 44 katika ushindi wa 5-0 dhidi ya Red Star Belgrade kwenye mchezo wa Kundi B Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Tottenham Hotspur mjini London. Mabao mengine ya Spours yalifungwa na Harry Kane mawili pia dakika ya tisa na 72 na Erik Lamela dakika ya 57 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
All you need to know about Sports Personality of the Year 2025
-
BBC Sport has everything you need to know about BBC Sport's Personality of
The Year 2025 and how to vote.
16 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment