Mshambuliaji Muargentina, Paulo Dybala akishangilia baada ya kuifungia mabao yote mawili Juventus dakika za 77 na 79 katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Lokomotiv Moscow kwenye mchezo wa Kundi D Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa jana Uwanja wa Allianz mjini Torino. Bao la Lokomotiv Moscow lilifungwa na Aleksey Miranchuk dakika ya 30 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment