KIPAGWILE NA MAHUNDI WAFUNGA AZAM FC YAICHAPA 2-0 AFRICAN LYON MECHI YA KIRAFIKI CHAMAZI
Wachezaji wa Azam FC, Iddi Kipagwile na Joseph Mahundi wakipongezana baada ya wote kufunga kwenye ushindi wa 2-0 dhidi ya African Lyon ya Daraja la Kwanza kwenye mchezo wa kirafiki jioni ya leo Uwanja wa Azam Complex, Chamazi mjini Dar es Salaam
0 comments:
Post a Comment