Kinda Mbrazil, Rodrygo Silva de Goes aliyeoandishwa kutoka timu B akishangilia baada ya kuifungia Real Madrid bao la kwanza dakika ya saba katika ushindi 5-0 dhidi ya Leganes kwenye mchezo wa La Liga usiku wa jana Uwanja wa Santiago Bernabéu. Mabao mengine ya Real yalifungwa na T. Kroos dakika ya nane, Nahodha Sergio Ramos kwa penalti dakika ya 24, mkongwe Karim Benzema kwa penalti pia dakika ya 69 na Luka Jovic dakika ya 90 na ushei na kwa ushindi huo kikosi cha kocha Zinadine Zidane kinafikisha pointi 21 katika mchezo wa 10, sasa kikizidiwa pointi moja na vinara, Barcelona amabo pia ni mabingwa watetezi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment