Mshambuliaji Muivory Coast, Richard Ella D'jodi akipiga shuti katika mchezo wa kirafiki ambao alifunga mabao mawili dakika za 15 na 34 Azam FC ikishinda 3-2, bao lingine likifungwa na Mzambia, Obrey Chirwa huku mabao ya Transit yakifungwa na Shaffi Moshi dakika za 66 na 86 Uwanja wa Azam Complex, Chamazi mjini Dar es Salaam
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment