Josh King akishangilia baada ya kuifungia kwa penalti Norway bao la kusawazisha dakika ya 90 katika sare ya 1-1 na Hispania kwenye mchezo wa Kundi F kufuzu Euro 2020 usiku wa jana Uwanja wa Ullevaal mjini Oslo, kufuatia Saul kuanza kuwafungia wageni dakika ya 47 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment