Bondia Mfaransa Sofiane Takoucht (kushoto) akienda chini baada ya kuchapwa konde na Muingereza Josh Warrington katika raundi ya pili ya pambano la ngumi za kulipwa uzito wa Feather usiku wa jana ukumbi wa First Direct Arena mjini Leeds, England. Warrington alishinda kwa Knockout (KO) raundi ya pili na kutetea taji la IBF kwa mara ya tatu PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment