Mshambuliaji Mreno wa Juventus, Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili dakika ya 37 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Udinese usiku wa jana Uwanja wa Dacia Arena katika mchezo wa Serie A. Bao la kwanza la Juve lilifungwa na Rodrigo Bentancur dakika ya 33 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment