Jadon Sancho akishangilia baada ya kuifungia Borussia Dortmund mabao mawili dakika za 27 na 61 katika sare ya 2-2 na Hertha Berlin katika mchezo wa Bundesliga leo Uwanja wa Signal-Iduna-Park mjini Dortmund. Mabao ya Hertha Berlin nayo yote yamefungwa na Salomon Kalou dakika ya 41 na 90 kwa penalti PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment