Cristiano Ronaldo akimpongeza Paulo Dybala baada ya kuitendea vyema krosi yake kwa kuifungia Juventus bao pekee dakika ya 17 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Manchester United usiku wa jana Uwanja wa Ols Trafford kwenye mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya PICHA ZAIDI GONGA HAPA
A 'novice' who can 'punch a bit' - how good is Paul?
-
BBC Sport takes a look inside Jake Paul’s camp and assesses his boxing
ability before Friday's fight with Anthony Joshua in Miami.
37 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment