Wayne Rooney akishangilia baada ya kuifungia mabao mawili DC United dakika ya nane na la penalti dakika ya 74 na kutoa pasi ya bao lingine lililofungwa na Luciano Acosta dakika ya 24 katika ushindi wa 3-1 dhidi ya New York City ambao bao lao lilifungwa na David Vill dakika ya 78 Uwanja wa Audi Field mjini Washington, District of Columbia katika Ligi ya Marekani (MLS) PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment