Mshambuliaji Danny Welbeck akishangilia baada ya kuifungia Arsenal bao pekee dakika ya 77 katika ushindi wa 1-0 dhidi ya wenyeji, Sporting Lisbon kwenye mchezo wa Kundi E Europa League usiku wa jana Uwanja wa Jose Alvalade, huo ukiwa ushindi wa 11 mfululizo kwa kikosi cha kocha Unai Emery PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment