Cristiano Ronaldo akishangilia baada ya kuifungia bao la kuongoza Juventus dakika ya 18 katika sare ya 1-1 na Genoa kwenye mchezo wa Serie A Uwanja wa Allianz mjini Torino. Genoa walisawazisha dakika ya 67 kupitia kwa Daniel Bessa huku Ronaldo akiweka rekodi ya kuwa mchezaji wa kwanza kufikisha mabao 400 kwenye Ligi tano za Ulaya PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment