Mwanasoka Bora wa Dunia wa FIFA, Luca Modric akiwa chini analalamika wakati wa mchezo wa La Liga usiku wa Jumamosi Uwanja wa de Mendizorroza mjini Vitoria-Gasteiz dhidi ya wenyeji, Alaves walioshinda 1-0, bao pekee la Manu García dakika ya 90 na ushei hiyo ikiwa mechi ya nne wanacheza bila kushinda au kufunga japo bao PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment