Mshambuliaji Edin Dzeko akikimbia kushangilia baada ya kuifungia AS Roma bao la kwanza dakika ya 30 kabla ya kuongeza lingine dakika ya 43 na kumsetia Cengiz Under kufunga la tatu dakika ya 50 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya CSKA Moscow ya Urusi usiku wa jana kwenye mchezo wa Kundi G Ligi ya Mabingwa Ulaya Uwanja wa Olimpiki mjini Roma, Italia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment