Antoine Griezmann akiinua mkono juu kushangilia kishujaa baada ya kuifungia mabao yote mawili Ufaransa dakika ya 62 akimalizia pasi ya beki Lucas Hernández na dakika ya 80 kwa penalti baada ya Blaise Matuidi kuangushwa kwenye boksi katika ushindi wa 2-1 dhidi ya Ujerumani kwenye mchezo wa Kundi la Kwanza Ligi ya Mataifa ya Ulaya Uwanja wa Stade de France mjini Paris. Bao la Ujerumani lilifungwa na Toni Kroos dakika ya 14 kwa penalti pia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment