Mshambuliaji Mbwana Samatta wa KRC Genk ya Ubelgiji akipasua katikati ya Said Ndemla (kushoto) na Abdi Kassim 'Babbi' wa timu ya mwanamuziki Ali Kiba na Marafiki zake jana katika mchezo wa kirafiki wa Hisani uliofanyika Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam. Timu ya Samatta na Rafiki zake ilishinda 4-2
Kiungo Mrisho Ngassa akijivuta kupiga mpira pembeni ya James Msuva
Mohammed Bin Slum na Ally Kiba wakimdhibiti Issa Rashid 'Baba Ubaya' wa timu Samatta
Amri Kiemba wa Team Samatta akimiliki mpira pembeni ya Shaaban Kisiga wa Team Kiba
Ibrahim Ajibu wa Team Kiba akimiliki mpira katikati ya wachezaji wa Team Samatta
Rashid Mandawa akiwapita wachezaj wa Team Kiba
Kiungo Said Ndemla wa Team Kiba akimiliki mpira mbele ya Henry Joseph wa Team Samatta
Ally Kiba akimtambulisha Abdi Kassim 'Babbi' kwa Waziri wa Habari, Utamaduni na Michezo kabla ya mechi kuanza jana
Kikosi cha Team Kiba kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Taifa
Kikosi cha Team Samatta kabla ya mchezo wa jana Uwanja wa Taifa
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago


.png)
0 comments:
Post a Comment