Paul Pogba akishangilia kibabe baada ya kuifungia Ufaransa bao ushindi dakika ya 80 ikiilaza 2-1 Australia katika mchezo wa Kundi C Kombe la Dunia Uwanja wa Kazan' Arena nchini Urusi. Antoine Griezmann alianza kuifungia Ufarandsa kwa penalti ya msaada wa teknolojia ya picha za video (VAR) dakika ya 58, kabla ya teknolojia hiyo pia kuisaidia Australia kupata bao la kusawazisha kwa penalti pia lililofungwa na Mile Jedinak dakika ya 62 baada ya Samuel Umtiti kuunawa mpira PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment