Denis Cheryshev akinyoosha mikono juu kushangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 43 na 90 na ushei katika ushindi wa 5-0 wa wenyeji wa Fainali za Kombe la Dunia 2018, Urusi dhidi ya Saudi Arabia katika mchezo wa ufunguzi wa Kundi A Ijumaa Uwanja wa Luzhniki mjini Moscow. Mabao mengine ya Urusi yalifungwa na Iury Gazinsky dakika ya 12, Artem Dzyuba dakika ya 71 na Aleksandr Golovin dakika ya 90 na zaidi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment