Toni Kroos akikimbia kushangilia baada ya kuwafungia bao la ushindi mabingwa watetezi, Ujerumani dakika ya 90 na ushei wakiichapa Sweden 2-1 katika mchezo wa Kundi F Kombe la Dunia leo Uwanja wa Olimpiki mjini Sochi. Hiyo ni baada ya Ola Toivonen kuanza kuifungia Sweden dakika ya 32 na Marco Reus kuisawazishia Ujerumani ambayo ilimpoteza Jerome Boateng aliyetolewa kwa kadi nyekundu baada ya kuonyeshwa kadi ya pili ya njano dakika ya 81 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment