SAMATTA AANZA NA GYM MAANDALIZI YA MSIMU MPYA UBELGIJI
Mshambuliaji wa kimataifa wa Tanzania, Mbwana Samatta akiwa gym jana mjini Genk, kwa mazoezi ya kuutayarisha mwili tayari kuanza maandalizi ya msimu mpya katika klabu yake, KRC Genk ya Ubelgiji kufuatia kurejea nchini humo wiki hii baada ya mapumziko ya wiki tatu
0 comments:
Post a Comment