Mwanasoka Bora wa Dunia, Cristiano Ronaldo akiwa haamini macho yake baada ya mchezo wa hatua ya 16 Bora Kombe la Dunia wakitolewa na Uruguay kwa kufungwa Ureno 2-1 Uwanja wa Olimpiki Fisht mjini Sochi leo. Ronaldo wa klabu ya Real Madrid, anaungana na hasimu wa La Liga, Lionel Messi wa Barcelona ambaye timu yake, Argentina imetolewa na Ufaransa leo pia katika mchezo uliotangulia PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment