Cristiano Ronaldo na wachezaji wenzake wa Real Madrid wakiwa hawaamini macho yao baada ya kufungwa mabao 3-1 na Tottenham Hotspur katikaa mchezo wa Kundi H Ligi ya Mabingwa Ulaya usiku wa Jumatano Uwanja wa Wembley. Mabao ya Spurs yamefungwa na Dele Alli mawili dakika za 27 na 55 na Christian Eriksen dakika ya 65 wakati la Real Madrid limefungwa na Cristiano Ronaldo dakika ya 80 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment