Kiungo Kevin De Bruyne akishangilia baada ya kuifungia bao la pili Manchester City dakika ya 49 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Leicester City kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England leo Uwanja wa Kings Power. Bao la kwanza katika ushindi huo wa 10 mfululizo wa Man City Ligi Kuu limefungwa na Gabriel Jesus dakika ya 45 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Verstappen takes first 2026 pole ahead of Hamilton
-
Max Verstappen takes his and Red Bull's first pole position of 2026 with an
imperious performance in qualifying at the Bahrain Grand Prix in Malaysia.
5 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment