Mfungaji bora mpya wa kihistoria wa Manchester City, Sergio Aguero akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao la pili kwa penalti dakika ya 50 baada ya Nacho Monreal kumchezea rafu Raheem Sterling katika ushindi wa 3-1 dhidi ya Arsenal leo kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England Uwanja wa Etihad. Mabao mengine ya Man City yamefungwa na Kevin de Bruyne dakika ya 19 na Gabriel Jesus dakika ya 74, ingawa alikuwa ameotea wakati la Arsenal limefungwa na Alexandre Lacazette dakika ya 65 baada ya kutokea benchi kuchukua nafasi ya Francis Coquelin dakika ya 56 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Independence Day: Ajadi urges Nigerians to keep faith in Nigeria
-
The Allied Peoples Movement (APM) senatorial candidate for Oyo Central
Senatorial District, Ambassador Olufemi Ajadi Oguntoyinbo, has felicitated
with Ni...
1 hour ago



.png)
0 comments:
Post a Comment