Mshambuliaji wa Paris St Germain, Edinson Cavani akishangilia baada ya kufunga mabao mawili dakika za 38 na 79 katika ushindi wa 4-1 dhidi ya Nantes jana kwenye mchezo wa Ligue 1, Ufaransa Uwanja wa Parc des Princess mjini Paris. Mabao mengine ya PSG yalifungwa na Angel Di Maria dakika ya 42 na Javier Pastore dakika ya 65, wakati la Nantes lilifungwa na Prejuce Niguimbe Nakoulma dakika ya 60 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
18th Headies nominees party holds at Vaniti Lagos
-
Vaniti, Lagos will host nominees of the 18th Headies Awards on Saturday,
October 3, 2026, as part of activities leading up to the prestigious music
award...
3 hours ago



.png)
0 comments:
Post a Comment