Ronaldinho Gaucho akifumua shuti katikati ya wachezaji wa Manchester United jana Uwanja wa Nou Camp katika mchezo wa kirafiki baina ya magwiji wa timu hizo. Magwiji wa United walishinda 3-1, ingawa wa Barcelona walicheza mpira wa kusisimua hususan Ronaldinho na Rivaldo. Mabao ya Man United yalifungwa na Jesper Blomqvist dakika ya 14, Karel Poborsky dakika ya 57 na Dwight Yorke wakati la Barcelona lilifungwa na Frederic Dehu dakika za mwishoni na mchezo wa marudiano utafanyika Uwanja wa Old Trafford Septemba 2 GONGA HAPA KUTAZAMA PICHA ZAIDI
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment