Mshambuliaji mpya wa Arsenal, Alexandre Lacazette akishangilia baada ya kuifungia timu yake bao dakika ya 62 katika kipigo cha 2-1 kutoka kwa Sevilla kwenye mchezo wa Kombe la Emirates, Uwanja wa Emirates mjini London. Mabao ya Sevilla yamefungwa na Joaquin Correa dakika ya 49 na Steven N'Zonzi dakika ya 69 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment