Mwanzo > HABARI PICHA > BEKI MTANZANIA AKIFANYA YAKE KOMBE LA UJERUMANI HABARI MOTOMOTO HABARI PICHA BEKI MTANZANIA AKIFANYA YAKE KOMBE LA UJERUMANI Beki Emily Mugeta wa VfB Eppingen ya Daraja la Tano Ujerumani, akiwatoka wachezaji wa TSG Weinheim ya Daraja la Nne katika mchezo wa hawa Kombe la FA ya Ujerumani jana Uwanja wa Hugo-Koch mjini Eppingen. VfB Eppingen ilishinda 2-1 Wednesday, July 26, 2017 HABARI MOTOMOTO HABARI PICHA
0 comments:
Post a Comment