Gerard Pique akiifungia bao la ushindi Barcelona dakika ya 50 ikiilaza 3-2 Real Madrid katika mchezo wa kirafiki wa Kombe la Mabingwa wa Kimataifa usiku wa kuamkia leo Uwanja wa Hard Rock mjini Miami, Marekani. Mabao mengine ya Barca yalifungwa na Lionel Messi dakika ya tatu na Ivan Rakitic dakika ya saba, wakati ya Real yamefungwa na Mateo Kovacic dakika ya 14 na Marco Asensio dakika ya 36 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment