Mwanzo > HABARI PICHA > MALIMI BUSUNGU ASAJILIWA LIPULI YA IRINGA HABARI PICHA MALIMI BUSUNGU ASAJILIWA LIPULI YA IRINGA Mshambuliaji aliyeachwa Yanga SC kwa tuhuma za utovu wa nidhamu, Malimi Busungu akikabidhiwa jezi ya Lipuli ya Iringa iliyopanda Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara msimu huu baada ya kusaini mkataba wa kujiunga na timu hiyo leo Monday, July 31, 2017 HABARI PICHA
0 comments:
Post a Comment