Mchezaji mpya, Alexandre Lacazette aliyesajiliwa kwa dau la rekodi, Pauni Milioni 52 kutoka Lyon akizungumza na mchezaji mwenzake wa Ufaransa, Francis Coquelin wakati wa mazoezi ya timu hiyo kujiandaa na msimu mpya leo Uwanja wa Emirates. Arsenal wataanza na Ngao ya Jamii dhidi ya Chelsea PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment