TITUS SIMBA ALIPOTWAA MEDALI YA FEDHA YA MADOLA SCOTLAND 1970
Bondia wa Tanzania, Titus Simba (kulia) akipigana na John Conteh wa England katika Michezo ya Jumuiya ya Madola mwaka 1970 nchini Scotland. Conteh alishinda na kutwaa Medali ya Dhahabu, huku Simba (sasa marehemu) akiondoka na Medali ya Fedha.
0 comments:
Post a Comment