Frank Kessie akishangilia na mchezaji mwenzake, Patrick Cutrone baada ya wote kufunga katika ushindi wa AC Milan wa 4-0 dhidi ya Bayern Munich usiku wa jana Uwanja wa Shenzhen Universiade Sports Centre mjini Shenzhen katika mchezo wa kirafiki. Kessie alifunga dakika ya 14, Cutrone dakika za 25 na 43, wakati bao la nne lilifungwa na Hakan Calhanoglu dakika ya 85 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment