Winga anayewaniwa na Manchester United, Ivan Perisic akipiga shuti kuifungia bao la pili Inter Milan dakika ya 53 ikiilaza 2-1 Chelsea Uwanja wa Taifa wa Singapore katika Kombe la Mabingwa wa KImataifa leo. Bao lingine la Inter Milan limefungwa na Stevan Jovetic dakika ya 45 na ushei, wakati la The Blues lilifungwa na Geoffrey Kondogbia aliyejifunga dakika ya 74 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment