Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mama Samia Suluhu Hassan (kulia) akiwa katika kikao na viongozi wa kampuni ya SportPesa Tanzania jana ofisini kwake, Dar es Salaam. Mama Samia amekubali ombi la viongozi hao wa SportPesa kuwa mgeni rasmi katika mchezo wa kirafiki kati ya Everton ya England na Gor Mahia ya Kenya, iliyotwaa kombe la michuano ya SportPesa iliyomalizika hivi karibuni Dar es Salaam. Mchezo huo utafanyika Julai 13, Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment