MADEGA ATAKA KITI CHA MALINZI TFF, ACHUKUA FOMU LEO
Mwenyekiti wa zamani wa Yanga, Imani Madega akionyesha fomu ya kugombea Urais wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF) baada ya kuichukua leo makao makuu ya shirikisho hilo, Uwanja wa Karume, Dar es Salaam. Jamal Emil Malinzi, Katibu Mkuu wa zamani wa Yanga, ndiye Rais wa TFF kwa sasa
0 comments:
Post a Comment