Denis Glushakov wa Urusi akipambana katikati ya mabeki wa New Zealand kuifungia bao la kwanza timu yake dakika ya 31 akimlazimisha Michael Boxall kujifunga katika mechi ya Kundi A michuano ya Kombe Mabara jana Uwanja wa Krestovskyi mjini St. Petersburg. Bao lingine la wenyeji, Urusi lilifungwa na Fyodor Smolov dakika ya 69 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment