SINGIDA UNITED YAMSAJILI 'FUNDI' MIRAJ ADAM MIAKA MIWILI
Mratibu wa Singida United iliyopanda Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, Sanga Festo (kulia) akimkabidhi beki Miraj Adam jezi ya timu hiyo baada ya kusaini mkataba wa miaka miwili kutoka African Lyon iliyoshuka daraja
0 comments:
Post a Comment