Mwenyekiti wa Kamati ya Usajili ya Simba, Zacharia Hans Poppe (kushoto) akiwa na mshambuliaji wa zamani wa klabu hiyo, Emmanuel Okwi mjini Kampala, Uganda jana. Simba ipo katika harakati za kumrejesha mchezaji huyo anayechezea SC Villa ya kwao kwa sasa
0 comments:
Post a Comment