WAMBURA ATAKA KUMPOKONYA KARIA UMAKAMU WA RAIS TFF
Katibu Mkuu wa zamani wa Shirikisho la Soka Tanzania (TFF), Michael Richard Wambura akiwa ameshika fomu ya kuwania Umakamu wa Rais wa shiriksiho hilo baada ya kuichukua leo makao makuu ya TFF, Dat es Salaam. Wallace Karia ndiye makamu wa Rais wa TFF kwa sasa
0 comments:
Post a Comment