Beki John Terry (wa pili kulia) akiwania mpira dhidi ya nyota kinda, Nathaniel Chalobah wakati wa mazoezi ya Chelsea kujiandaa na mechi ya mwisho ya Ligi Kuu ya England dhidi ya Sunderland Jumapili. Terry mwenye umri wa miaka 36 sasa, anatarajiwa kuaga Chelsea siku hiyo baada ya kucheza mechi 716 tangu 1995 alipowasili akiwa kijana mdogo kabisa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment