Winga wa Simba, Shiza Kichuya (kulia) akitafuta maarifa ya kumpita mshambuliaji wa AFC Eskilstuna ya Denmark, Thomas Ulimwengu mwenye mwonekano mpya baada ya kunyoa rasta katika mazoezi ya timu ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars jioni ya leo Uwanja wa Kituo cha Jakaya Kikwete (JMKYC), eneo la Gerezani, Dar es Salaam. Kulia ni kocha wa Taifa Stars, Salum Mayanga
Beki wa Azam, Shomary Kapombe akitafuta maarifa ya kumtoka Shiza Kichuya
Winga wa Yanga, Simon Msuva akipiga mpira dhidi ya Thomas Ulimwengu
Kulia kabisa ni Mbaraka Yussuf Abeid wa Kagera Sugar
Wachezaji wa Azam FC kutoka kulia Gardiel Michael, Erasto Nyoni na Shomary Kapombe
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago


.png)
0 comments:
Post a Comment