Polisi wakikagua gari za wachezaji wa Manchester United wakielekea mazoeini viwanja vya Carrington leo, baada ya tukio la usiku wa jana la shambulio la kigaidi kwenye tamasha la muziki wa Pop mjini Manchester lililosababisha vifo vya watu 22 na wengine 119 kujeruhiwa PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment