Kiungo wa timu ya taifa ya vijana chini ya umri wa miaka 17, Abdul Hamisi Suleiman akionyesha tuzo yake ya Mchezaji Bora wa mechi kwenye Fainali za U-17 Afrika nchini Gabon baada ya kuwasili Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Julius Nyerere (JNIA), Dar es Salaam leo. Abdul alishinda mechi hiyo katika mechi ya Kundi B dhidi ya Angola Mei 18, mwaka huu Serengeti Boys wakishinda 2-1 Uwanja wa L'Amitiee mjini Libreville, huku yeye akifunga bao la ushindi
Waziri wa Habari, Utamaduni Sanaa na Michezo, Dk Harrison Mwakyembe (katikati) akiwa na Abdul Suleiman (kulia) na beki wa Serengeti Boys, Dickson Job
Waziri Mwakyembe akiwalaki makocha wa Serengeti Boys, Bakari Nyundo Shime (katikati) na Msaidizi wake, Oscar Milambo
Waziri Mwakyembe akizungumzakwenye hafla fupi ya mapokezi ya vijana hao JNIA
Wachezaji wa Serengeti Boys katika picha ya pamoja na viongozi
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago


.png)
0 comments:
Post a Comment