Nyota wa Barcelona, Lionel Messi akisikitika baada ya kukosa penalti dakika ya 70 timu yake ikishinda 4-2 dhidi ya Eibar katika mchezo wa mwisho wa La Liga Uwanja wa Camp Nou. Mabao ya Barca yamefungwa na David Junker aliyejifunga dakika ya 63, Luis Suarez dakika ya 74 na Messi mawili, moja kwa penalti dakika ya 75 na lingine dakika ya 90 na ushei, wakati ya wageni yalifungwa na Takashi Inui dakika za saba na 61 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Murray & Kennys on learning about 'superhero' Hoy's cancer
-
Olympic champions Andy Murray and Laura and Jason Kenny recall the moment
their friend Chris Hoy revealed his cancer diagnosis to them.
57 minutes ago



.png)
0 comments:
Post a Comment