Wachezaji wa Real Madrid wakishangilia baada ya kutwaa ubingwa wa Hispania kufuatia ushindi wa 2-0 dhidi ya wenyeji, Malaga leo Uwanja wa La Rosaleda mjini Malaga katika mchezo wa mwisho wa La Liga. Mabao ya Real Madrid ambayo wiki ijayo itamenyana na Juventus katika fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya yamefungwa na Cristiano Ronaldo dakika ya pili na Karim Benzema dakika ya 55 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment