Kocha wa Liverpool, Jurgen Klopp akikimbia kushangilia baada ya Adam Lallana kuifungia timu hiyo bao la tatu dakika ya 56 katika ushindi wa 3-0 dhidi ya Middlesbrough leo uwanja wa Anfield kwenye mchezo wa Ligi Kuu ya England hivyo kujihakikishia nafasi ya nne na kukata tiketi ya Ligi ya Mabingwa. Mabao mengine ya Liverpool yamefungwa na Georginio Wijnaldum dakika ya 45 na ushei na Philippe Coutinho dakika ya 51 PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment