Kinda Josh Harrop akishangilia baada ya kuifungia bao la kwanza Manchester United dakika ya 15 katika ushindi wa 2-0 dhidi ya Crystal Palace Uwanja wa Old Trafford leo kwenye mchezo wa mwisho wa Ligi Kuu ya England. Bao la pili la United limefungwa na Paul Pogba dakika ya 19 na United imemaliza nafasi ya sita kwenye msimamo wa Ligi PICHA ZAIDI GONGA HAPA
Watch: Lille midfielder Ethan Mbappe shown red card for ugly elbow
-
Ethan Mbappé was shown a red card in Lille's Champions League match against
Real Betis on Tuesday.
2 weeks ago



.png)
0 comments:
Post a Comment